Tafuta manenoMiundo
Tafuta Maneno ya Miundo
Maneno 47 ya kupata, kama vile NYUMBA, UKUTA na MLANGO. Cheza mtandaoni ukitumia vigae vya nguvu, au chapisha na ucheze kwenye karatasi.
wordsearchmultiplayer.appTafuta maneno ya Miundo yanayoweza kuchapishwa
| R | A | K | M | A | K | S | A | H | Z | Y | P |
| M | D | B | R | A | W | I | A | Z | J | F | S |
| F | M | U | E | M | T | M | O | D | A | C | B |
| G | P | Z | K | N | P | N | A | B | N | V | Z |
| I | A | E | T | A | Y | H | M | A | P | B | D |
| C | K | G | A | A | N | U | M | R | J | W | K |
| I | L | E | T | O | H | I | M | A | L | T | M |
| V | V | C | S | C | K | O | S | B | B | G | G |
| F | O | K | O | S | K | O | P | A | A | E | D |
| U | T | P | P | F | K | H | J | R | L | T | A |
| B | S | R | T | U | R | N | G | A | Z | I | I |
| I | W | J | W | K | C | R | V | R | K | C | B |
Pata maneno haya 14
- BARABARA
- BATI
- CHUMBA
- DUKA
- GETI
- HOTELI
- KANISA
- LAMI
- NGAZI
- NYUMBA
- PAA
- POSTA
- SOKO
- ZEGE
Maneno katika fumbo hili na maana yake
Umepata neno usilolijua? Hapa kuna maana ya maneno katika fumbo hili, na mengine machache kutoka kwenye mada.
- BARABARA
- sehemu iliyotengwa kwa sababu ya kupita
- BATI
- kipande cha chuma kilichobambuliwa na kukunjwakunjwa ili kitumike kuezeka nyumba
- CHUMBA
- kitengo katika nyumba
- DUKA
- chumba cha biashara ambako kuna uuzaji na ununuzi wa bidhaa
- HOTELI
- ni sehemu ya biashara inayojihusisha na malazi na kuuza chakula
- KANISA
- mahali wakristo wanafanya ibada
- LAMI
- barabara inayoundwa kwakutantazwa nani nyeusi
- NGAZI
- kifaa cha kupandia juu ya mti,nyumba au pahali popote palipo juu
- NYUMBA
- jengo lolote linalotumiwa na binadamu kujikinga kutokana na hali mbaya ya anga au wanyama wakali
- PAA
- mnyama wa mwitu mwenye pembe ndefu na huwa mwepesi ili atoroke simba wanaowawinda
- POSTA
- kituo cha kupokea na kutuma barua na mizigo
- SOKO
- mahali penye mkusanyiko wa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa
- ZEGE
- Mchanganyiko wa saruji, mchanga, kokoto, na maji ambao unatumika katika ujenzi na huwa mgumu kama jiwe baada ya kukauka.
- KABURI
- mahali anapozikwa maiti
- KITUO
- alama ya kuonyesha mwisho wa sentensi
- MSIKITI
- nyumba ya waisilamu ya kuabudu
- MBAO
- miti iliyokatwa kwa sababu ya kutengezea vifaa maalum
- DARAJA
- kivukio au njia baina ya kingo mbili zilizozuiliwa
- MCHANGA
- sehemu ya chini ya dunia
- UKUMBI
- sehemu katika nyumba maalum yakufanyia maigizo
- HOSPITALI
- mahali mgonjwa hupata matibabu
- BAFU
- mahali pa kuogea
- MAWE
- vipande vya mwamba vipatikanavyo kwenye ardi hutumika kwa ujenzi
- UWANJA
- kipande cha ardhi iliyowazi na kitatumiwa kwa kitu fulani
Maana kutoka Wiktionary, zinapatikana chini ya CC BY-SA 4.0.
Tafuta maneno zaidi kama haya
Tafuta maneno haya katika lugha zingine
- English
- Afrikaans
- العربية
- Azərbaycan
- Беларуская
- Български
- Català
- Čeština
- Dansk
- Deutsch
- Ελληνικά
- Español
- Eesti
- فارسی
- Suomi
- Filipino
- Français
- עברית
- हिन्दी
- Hrvatski
- Magyar
- Հայերեն
- Bahasa Indonesia
- Íslenska
- Italiano
- 日本語
- ქართული
- 한국어
- Lietuvių
- Latviešu
- Македонски
- മലയാളം
- Монгол
- Bahasa Melayu
- မြန်မာ
- नेपाली
- Nederlands
- Norsk
- Polski
- Português
- Română
- Русский
- Slovenčina
- Slovenščina
- Shqip
- Српски
- Svenska
- ไทย
- Türkçe
- Українська
- Tiếng Việt
- 中文
Cheza vita kwenye programu
Unapenda Miundo? Shindana na rafiki kuyapata kwanza katika Word Search Multiplayer, au jifunze maneno hayo katika lugha 56.

